mgawo wa umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    KERO TANESCO mnakata umeme kuanzia Kimara mpaka Mbezi kwa zaidi ya masaa 12 kila siku bila ya kutoa taarifa yoyote ile ya kueleweka

    Kwa takribani wiki mbili wakazi wa Kimara mpaka mbezi wanaishi pasi na umeme kila siku kwa zaidi ya masaa 12 bila ya taarifa yotote. TANESCO kila inapofika saa 4 asubuhi wanakata umeme na hurudi saa 5 Usiku. Kama kuna mgao waelezeni wananchi wafahamu kuliko huu ujinga mnaoufanya. Taarifa...
  2. D

    TANESCO, Usa-River Arusha kuna mgawo wa umeme?

    TANESCO Wilaya ya TANESCO Usa-River Arusha tangia juzi ikifika saa 12 jioni mnakata umeme, vipi kuna mgawo? Au ni kwamba hamsikii raha bila kutukatia umeme. Meneja wa hapa km siyo mchawi basi ana roho ya kichawi maana mojawapo ya malengo ya uchawi ni kutesa wenzako.
  3. Mradi wa JHNPP umeondoa mgawo wa Umeme

    Kama ambavyo sisi hulalamika pale wanaotuhudumia wanapofanya vibaya, basi ni jambo jema la kiungwana kuwakumbuka na kuwapongeza wanapofanya vizuri. Katika maisha yangu, sijawahi kushuhudia Tanzania ikiwa na umeme unaowaka mfululizo kama mwaka huu 2024 baada ya JHNPP kuanza uzalishaji. Kwangu ni...
  4. S

    Mbona kimsingi mgawo wa umeme umeisha? Kwanini meneja wa wilaya ya Arumeru unatunyanyasa wananchi wa Kikatiti?

    Huku Kikatiti umeme ulikatwa asubuhi na kurudishwa saa 12 jioni. Saa 1 na nusu wameukata tena. Kwanini mwatunyanyasa hivi?
  5. KERO TANESCO acheni ulaghai, kulikuwa na haja gani ya kusema mgawo umeisha huku watu wa Makongo Juu tukilala gizani siku 3 mfululizo?

    Nashindwa kuelewa kama TANESCO ni shirika linalosimamia maslahi ya umma, nini maana ya kutoa ahadi feki kila siku? Kwa masikitiko makubwa sana, shirika hili limegeuza kile kinachoitwa 'Mgawo wa umeme' kuwa 'Hitilafu za kiufundi' Ni siku 3 sasa watu wa Makongo Juu tunapata usumbufu mkubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…