Nani asiyejua kuwa umeme haupo kwa siku zaidi ya masaa 12?
Kwanini bei za vifurushi vya TV Azam, Star Times, nk, bei ni ile ile?
Kwa biashara ambazo bila umeme ni kuwa hakuna kazi. Kulikoni kodi TRA ni ile ile?
Hizi zimekaa kiwizi wizi kama zile za nyakati za corona. Biashara hamna kodi pale...