Kutokana na mgogoro wa ardhi unaoendelea Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo inadaiwa wamekamatwa na Polisi na wamewekwa ndani.
Hakuna taarifa yoyote inayoendelea, Jeshi la Polisi mbona mnafanya maamuzi ambayo ni ya kidikteta...
Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati, Ngabolo na Olboloti Wilayani Kiteto Mkoani Manyara waliodai kuporwa maeneo yao ya mashamba wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati changamoto yao inayowakabili kuhusu kuporwa ardhi ya Wafugaji wakidai kuwa wanapewa nguvu na baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.