mgogoro ardhi kiteto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Polisi Kiteto wamekamata Wakulima, wanawatesa na kuwanyima dhamana

    Kutokana na mgogoro wa ardhi unaoendelea Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo inadaiwa wamekamatwa na Polisi na wamewekwa ndani. Hakuna taarifa yoyote inayoendelea, Jeshi la Polisi mbona mnafanya maamuzi ambayo ni ya kidikteta...
  2. DOKEZO Manyara: Wakulima Kiteto warejea kwenye mashamba waliyoondolewa, watuma ujumbe kwa Rais Samia wakidai wameporwa Ardhi yenye mashamba yao

    Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati, Ngabolo na Olboloti Wilayani Kiteto Mkoani Manyara waliodai kuporwa maeneo yao ya mashamba wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati changamoto yao inayowakabili kuhusu kuporwa ardhi ya Wafugaji wakidai kuwa wanapewa nguvu na baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…