MISENYI
Kikao cha maridhiano cha kujadili na kutafuta suluhu ya changamoto ya ardhi inayowahusisha wananchi, wafugaji na Jeshi kimefanyika leo Sept 17, 2026 katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Misenyi, Mhe. Kanali Mstaafu Hamis Maiga.
Kikao hicho kimejikita katika changamoto inayohusu eneo...