Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kufurahishwa na mwitikio mkubwa wa watu wanaojitokeza kupata msaada wa kisheria kwenye Kampeni ya Mama Samia Jijini Arusha, akisema kampeni hiyo si tu ya Watanzania bali ni ya kila mmoja anayeishi nchini kama ambavyo leo Machi 04, 2025...