Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche amewataka wanachama wa chama hicho kutokuingia kwenye kile alichokiita mtego wa kukipasua chama.
Soma: John Mnyika adai kuna hujuma za kuyumbisha harakati za 'No Reforms No Election' kufuatia pingamizi la uteuzi...
Mara kadhaa nimewambia kuwa chadema ni genge la wahuni wapiga dili, wanatumia chama kama kitegauchumi.
Mungu sio asumani leo hii leo hii tunawaona jinsi wanavyo tuhumiana wao kwa wao kula rushwa/kulamba mzigo.
Mnawaona jinsi wanavyo nyoosheana vidole;.........mara...wewe umesha lamba....ohhh...
Mbowe na Mnyika Waisifia TAMISEMI. Lissu atakiwa kuwapisha CHADEMA huku Fedha za Chama zikielekezwa uchaguzi kanda ya Kaskazini kisa chama hakina hela.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana.
Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu.
Mlale Unono 😃😃🔥
======
Freeman Mbowe akikanusha...
chademachadema wavurugana
chama cha demokrasia na maendeleo
freeman mbowe
lissu kuondoka chadema
mbowe na lissu hawapatani
mgogorochadema
mpasuko chadema
operation karatu
tundu lissu
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Mchungaji Peter Msigwa ameendelea kurusha jiwe gizani.
Safari hii anawapa somo vijana walioingia juzi kwenye siasa wajue tofauti ya chama na mtu.
Siku si nyingi chama cha familia kitamrushia virago.
--
“Kuna tofouti kubwa kati ya kukilinda chama na kumlinda mtu, Kukipinga chama na kumpinga...
Kwa muda mrefu sana toka wakati wa Chacha Wangwe, Zitto n.k CHADEMA kimekuwa chama rigid na kisichokubali kabisa kukosolewa hasa kupitia wafuasi wake ambao ukijaribu kukosoa utashambuliwa sana. Sasa kwa wale wanaojua siasa za nchi hii chadema ndio inazama.
Yah, kama jua la jioni upande wa...
Mifano kwa CCM iko wazi akiingia Mwenyekiti Mpya anaanza Kusafisha Sekretarieti ya Chama na kuingiza Jamaa na Rafiki zake kadhalika Chadema itakuwa hivyo
Sasa wale wanaolisha na kusomesha watoto kupitia Ruzuku ya Chadema wanaona Mbowe akistaafu na wao hawana maisha
Hawa ndio wanamng'ang'aniza...
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.