Muungano wa makundi ya waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametangaza usitishaji mapigano wa kibinadamu kuanzia Jumanne.
Katika taarifa, kundi hilo - linalojumuisha waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda - lilitaja "sababu za kibinadamu" za kusitisha mapigano, baada ya kuteka...