Kwa source za ki intelgensia unaambiwa m23 wapo kila sehemu kwa sasa hawategemei struggle kuteka mji kama ilivo mwanzo uko kivu.
KWA NN BUKAVU IMEKAMATIKA KIRAISI?
m23 wamejipanga na wana intelgensia hatari wamesha sambaza wanajeshi wake congo nzima kwaiyo mkuu akifika wanapiwa taarifa wavae...
Waasi wa M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameingia Bukavu, mji wa pili kwa ukubwa katika eneo hilo la mashariki.
Corneille Nangaa, kiongozi wa Muungano unaojumuisha waasi wa M23, ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa waasi hao waliingia katika mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini...
Wakuu,
Haya ndio maazimio ya mkutano wa SADC na EAC kuhusu mgogoro wa DRC, na moja ya walichoazimia ni Mkutano wa SADC na EAC waazimia kuondoa vikosi vya kigeni visivyoalikwa katika ardhi ya DRC.
Pia soma: Dar: Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC...
Mgogoro wa Congo DR hatuhitaji mazungumzo ili kupata suluhu,
Maadui wa Congo DR ni wajumbe wa huo mkutano ni wazi kuwa ni Kagame na Mseveni, Sasa hawa ndo wapo kinafiki ati wanashauri mbinu za mapatano.
Yaani wakuu wa nchi wanaitisha mazungumzo dhidi ya waasi wa M 23 Kwa maana wameshindwa...
Wakuu,
Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23.
Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao...
barabara kufungwa dar
freedom of expression
freedom of media
gazeti la mwananchi
gerson msigwa
kuelekea 2025
mgogorodrcm23
mkutano sadc eac
uhuru vyombo habari
uhuru wa kujieleza
uhuru wa magazeti
Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025.
Rais Samia amewataka viongozi wenzake wa Kikanda kuchukua hatua madhubuti kuhusu hali inayoendelea kuzorota katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, akionya kwamba historia itawahukumu vikali...
Wanajeshi wa Malawi, waliokuwa mashariki mwa DRC, kupitia SADEC, leo wamerudishwa nchini kwao.
Ni katika jitihada za kuhakikisha kusitisha mapigano kati ya serikali na M23 yanafikiwa kwa uhuru. Kuondoka kwao, kutaihakikishia M23 kuwa serikali ina nia ya kuleta amani ya kudumu.
=
BLANTYRE...
Jeshi la M23, limetembelea kambi ya Mubambiro. Baada ya mazungumzo (hawakuingia kambini, waliishia nje ya kambi). Wanajeshi wa Afrika kusini wameonyesha kuridhia ukarimu wa M23 na kuomba mambo matatu:
1. Kuruhusiwa kwenda Goma, kwa kutumia vifaru, wakakusanye vitu vyao vilivyopo kwenye kambi ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutanon wa Dharura wa wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC Harare Nchini Zimbabwe, leo tarehe 31 Januari, 2025
https://www.youtube.com/live/selwjXLEMCQ?si=VsaQ5QjvugXCzmL3
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.