Mtoto mdogo kama huyu ananyimwa haki yake ya malezi bora yasiyokubikwa na asili ya ukanda, uadui, hofu na damu lakini too bad atalelewa na matapeli watakaomwambia kuwa wayahudi, wakristo na wazungu ndio adui yake mkubwa.
Then, ataenda achokoze Israel, apewe kipondo, alafu ndugu zake wa bongo...
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kuanzisha operesheni mpya katika Hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Gaza, baada ya kugundua kuwa wapiganaji wa Hamas wamerudi eneo hilo.
IDF ilieleza kuwa hospitali hiyo imekuwa ngome kuu ya wanamgambo wa Hamas na imetumika kwa shughuli zao tangu...
Israel imeandaa jeshi na imepeleka jeshi,vifaru na mifumo ya roketi mipakani na Lebanon.
Na jeshi tayari limeshasogea kilometa nyingi zaidi ya Shebah farms.
Ni kilometa chache tu zimebaki kwa IDF kuweza kuingia rasmi ndani ya mipaka ya Lebanon kusini.
Licha ya jeshi lililopelekwa bado kuna...
Iran yadai Israel inapenda kuchochea migogoro na vita nchi nyingine lakini yenyewe Haina Uwezo Wala Nguvu za kuanzisha Vita dhidi ya Iran!
Wadau hamjamboni nyote?
Siyo maneno yangu hayo ni mapya kutoka Tehran Kwa naibu waziri mambo ya nje Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ALI BAGHER.
Naibu waziri...
Iran imesema kwamba itaishambulia nchi ya Israel ndani ya masaa 24 yajayo Iran haijajulikana itafanya mashambulizi Gani lakini marekani wamesema kwamba Iran unaweza kuyatumia makundi yake yanayowaunga mkono kutoka nchi za Lebanon, Syria na Yemen kuishambulia ISRAEL apo kesho usiku.
Na katika...
Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli.
Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji mapigano yaliyoheshimishwa kwa ujumla tangu kumalizika kwa vita vya siku tano mwezi Mei. Tawi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.