Nikiangalia picha za Maeneo yote ya Palestina kuna maghorofa tena ya maana sana. Ila sifahamu wao hao raia wa Taifa hilo wanapata wapi pesa kiasi cha kuweza kujenga maghorofa tupu katika miji yao?
Ukiangalia picha za vita, Tizama maghorofa ya Palestina, linganisha na Maghorofa ya Ukraine...