Wadau hamjamboni nyote.
IDF na mossad wanatisha Ndugu zangu. Huko Kusini mwa Lebanon ambalo ndiyo makao makuu ya Hezbollah hakukaliki Wala hakulaliki kabisa huku hofu kubwa ikitanda.
Wameamua kufanya maamuzi mazito ya kuwakimbiza haraka maofisa wao waandamizi na vifaa vizito vya kijeshi...