Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata...
Wadau hamjamboni nyote?
Hatimaye Mawaziri Vigogo ya Serikali ya Rais Samia ambao ni Profesa Kabudi, William Lukuvi na Kamishna wa mafunzo Jeshi la polisi Awadhi wakutana na Paul Makonda na kufanya kikao kizito na Kamati ya Usalama ya Mkoa Arusha.
Waziri wa Katiba na Sheria Profesa...
CHADEMA NA WAKENYA MNAMASLAHI GANI NA VURUGU ZA NGORONGORO?
Wamasai wa Ngorongoro wamesikitishwa sana na vitendo vya CHADEMA Kuchochea vurugu Wilayani Ngorongoro Katika kata moja ya Enduleni, CHADEMA ni chama ambacho kimechochea mgogoro wa eneo letu takatifu la Ngorongoro. Tunalaani kwa nguvu...
Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoriki Tanzania Daktari wa Falsafa na Padre ndugu Kitima amesema si haki na ni udhalilishaji wa wazi wanafanyiwa Wamasai wa NGORONGORO kwa kunyimwa haki zao.
"....leo hii tunapozungumza ndugu zetu Wamasai wa kule NGORONGORO wanatuma ujumbe mbaya wenye...
Ni muda muafaka wa kumpongeza Rais Samia kwa kuwahamisha Wamasai na wakazi wengine ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kulingana na maamuzi kama hayo yaliyowahi kufanyika Canada na Marekani.
Tarehe 20 ya mwezi wa 7 kila mwaka nchini Canada wanasherehea ' National Park Day" sherehe ambayo Wacanada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.