Takriban kwa wiki tatu sasa jeshi la Israel limekuwa likipigana vita vikali vya mtaa kwa mtaa maeneo ya kaskazini ya Gaza.
Mwishowe jeshi hilo lilitanga hapo juzi kuwa limedhibiti kambi yote ya Jabalia ambayo imewapa shida kuishida tangu mwanzo wa vita.
Watu wengi walikufa kwenye mji huo na...
Niaje waungwana
Baada ya wazungu kufanikiwa kuwaweka watu wao pale mashariki ya kati (Palestina + Israel), Plan ya pili ilikuwa ni kuwasaidia watu hao kujitanua kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kidogo kidogo, mpaka pale watapojikuta wamefanikiwa kujenga empire na kuzifikia zile nchi zenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.