Akiongea Jana kwenye hafla ya uzinduzi wa kitabu cha historia ya klabu ya Yanga, Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa michezo, alisema kitendo cha viongozi na wanachama wa Simba kukubali kuendesha timu Kwa miaka 6 bila kukamilisha mchakato wa mabadiliko ya katiba na sheria za uendeshaji wa timu...
Kuna mgogoro unaendelea kwenye klabu kongwe ya Simba, kama unafuatilia vyombo vya habari na ukiwa mdau wa michezo hutashangaa! Kwenye mgogoro huu kuna makundi makuu mawili ambayo ni;
a) Wanachama: Kwa mujibu wa mchakato mpya wa mabadiliko ya uendeshaji (uwekezaji kwa mfumo wa hisa) hawa...
Habari mwanajukwaa.
Jana kwa jirani moto umeanza kuwaka kumbe ule moshi ulikua unavuka ndani kulikua na moto hatukujua tu.😂
Zile ngonjera za kuwafunga kina GB 64 na kusema wanaihujumu timu.
Mara kuna watu wanavaa jezi za simba wanaisema vibaya makusudi.
Mara Yanga ana nunua Match na kahonga...
Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC.
𝗪𝗮𝗷𝘂𝗺𝗯𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗴𝗼𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 :
Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema kuwa HAWAJIUZU. Hawajiuzulu kwa sababu hawajafanya kosa lolote, wao wamejitoa sana kwa klabu sometimes...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.