mgogoro simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwana FA: Kuendesha timu Kabla ya kukamilisha taratibu za kisheria za uwekezaji chanzo cha Mgogoro Simba

    Akiongea Jana kwenye hafla ya uzinduzi wa kitabu cha historia ya klabu ya Yanga, Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa michezo, alisema kitendo cha viongozi na wanachama wa Simba kukubali kuendesha timu Kwa miaka 6 bila kukamilisha mchakato wa mabadiliko ya katiba na sheria za uendeshaji wa timu...
  2. Nani mkweli, Mo Dewji au wanachama?

    Kuna mgogoro unaendelea kwenye klabu kongwe ya Simba, kama unafuatilia vyombo vya habari na ukiwa mdau wa michezo hutashangaa! Kwenye mgogoro huu kuna makundi makuu mawili ambayo ni; a) Wanachama: Kwa mujibu wa mchakato mpya wa mabadiliko ya uendeshaji (uwekezaji kwa mfumo wa hisa) hawa...
  3. Kwahiyo tunakubaliana Yanga alikuwa hanunui Match bali ni team yetu imeoza si ndio?

    Habari mwanajukwaa. Jana kwa jirani moto umeanza kuwaka kumbe ule moshi ulikua unavuka ndani kulikua na moto hatukujua tu.๐Ÿ˜‚ Zile ngonjera za kuwafunga kina GB 64 na kusema wanaihujumu timu. Mara kuna watu wanavaa jezi za simba wanaisema vibaya makusudi. Mara Yanga ana nunua Match na kahonga...
  4. Wajumbe Bodi ya Simba upande wa Wanachama wagoma kujiuzulu

    Yaliyojiri kwenye mkutano ulliofanyika leo wa Wanachama Simba SC. ๐—ช๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ด๐—ผ๐—บ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜‚๐˜‡๐˜‚๐—น๐˜‚ : Wajumbe wote wa bodi upande wa Wanachama wa Simba SC wenye 51% ya hisa kwa kauli moja wamesema kuwa HAWAJIUZU. Hawajiuzulu kwa sababu hawajafanya kosa lolote, wao wamejitoa sana kwa klabu sometimes...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ