Mfalme Suleimani aliwahi kusema hakuna jipya chini ya jua.
Jana limetokea jambo ambalo limeshangaza dunia kidogo, lakini ukweli ni kwamba kama wewe ni msomi wa historia utafahamu kwamba fedheha za waziwazi na namna ile zimewahi kufanywa na Raisi wa Marekani General Dwight Eisenhower mwaka 1956...