Kuna mgogoro wa ardhi, mtaa wa Majengo mapya - jeshini, kitongoji cha Itumbi, kata ya matundasi, wilayani Chunya.
Mwenyekiti wa kitongoji anaamrisha wakazi wa eneo hilo kuhama eneo hilo ifikapo tarehe 20 Agusti 2024.
Wananchi tumejitahidi kutuma wawakilishi kuonana na mkuu wa wilaya ili kujua...