mgogoro wa congo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bunge la Ubelgiji lapitisha azimio la kuiwekea Rwanda vikwazo

    Bunge la Ubelgiji limepitisha muswaada wa kuiwekea Rwanda vikwazo vya kiuchumi na kijeshi kutokana na mchango wake wa machafuko mashariki mwa DRC. Azimio hilo lenye kurasa 11 liliwasilishwa na mbunge wa ubelgiji mwenye asili ya DRC mutyebere Ngoi kutoka chama cha kishoshalisti limeungwa mkono...
  2. Aibu hii kwa viongozi wa Africa na Africa mgogoro wa Congo

    Hawawezi kuamua siku zote. Wao hujificha madhaifu yao na aibu zao kwenye diplomatic Kituko kweli,yaani ukae mfanye mazungumzo na mwanao(M23) wa kuasili anaetaka kukuua wakishirikiana na baba yake mzazi(Rwanda) Mwanao anaekuhujumu mfanye mazungumzo,viongozi wa Africa hawawezi kuamua mambo...
  3. Mazungumzo kuhusu mgogoro wa DRC na M23 ni unafiki na uoga tu. Wawaambie Rwanda na Uganda ukweli

    Mgogoro wa Congo DR hatuhitaji mazungumzo ili kupata suluhu, Maadui wa Congo DR ni wajumbe wa huo mkutano ni wazi kuwa ni Kagame na Mseveni, Sasa hawa ndo wapo kinafiki ati wanashauri mbinu za mapatano. Yaani wakuu wa nchi wanaitisha mazungumzo dhidi ya waasi wa M 23 Kwa maana wameshindwa...
  4. Hili ndio suluhisho la mgogoro wa Congo na Rwanda, kati ya Kagame na Tshisekedi

    Kuna machaguo mawili ambayo wahusika wenyewe watatakiwa kuchagua. Na ikishindikana kuchagua kwa maana wote wawili kutochagua chaguo lolote, au kila mmoja kuchagua tofauti na mwenzake, basi itapigwa kura ambapo viongozi wataoongoza mkutano huo ndio watapiga kura kuchagua chaguo moja ambalo...
  5. L

    Mambo yanayotatanisha mgogoro wa Congo DR

    Nahisi mgogoro wa congo ni zaidi ya tunavyoelezwa,ila hakuna anaetaka kusema ukweli. 1) Dhana ya wizi wa madini, Mnashangaa sana Kwa Nini wanunuzi wakubwa wa madini na rasilimali za congo kwa Nini wasifanye biashara halali kwa kununua kwa mmiliki halali na halisi wa rasilimali hizo ambae ni...
  6. Trump akataa kujibu swali kuhusu mapigano DRC

    Ilikuwa katika Press Conference kujadili air accident kati ya ndege na helicopter. Reporter mmoja mwanamke kutoka Africa akamuuliza Trump maoni yake kuhusu mgogoro uliopo Congo Trump akasema anashukuru sana kwamba hili swali limeulizws kwa sababu mambo yanayotokea kule ni very important lakini...
  7. Suluhisho la Kudumu la Mgogoro wa Maziwa Makuu (Rwanda, Congo et al) ni kutenga na kupata nchi ya hao waliopo hapo sasa (North Kivu)

    Kwanza kabisa mimi sio Mtaalamu na baada ya kuangalia kwa haraka matakwa ya pande tofauti nimeona ni vigumu sana kwa upande mmoja kukubaliana na matakwa ya upande mwingine kutokana na usalama wao na kutokuaminiana; Hivyo Suluhisho pekee ni hapo katikati kuwepo na nchi ya hao waliomo. Kwa...
  8. Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC walaani mashambulizi ya M23 na RDF, waunga Mkono juhudi za Kidiplomasia kutatua mgogoro huu

    Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ulifanyika tarehe 31 Januari 2025, Harare, Zimbabwe, chini ya uenyekiti wa Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa. Mkutano huu ulijadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…