Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka katika awamu iliyopita na kuwataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika
Amesema, "Hali ni mbaya sana, hakuna pesa katika Hazina, na kidogo tunachokusanya...