mgogoro wa mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    Kuna utamu mkubwa sana mkiwa katika ugomvi na mke wako halafu mshiriki tendo la ndoa

    Kuna siku mke wangu alinuna kwenye ndoa kila nikiomba tendo ananiwekea ty nafanya bila ushirikiano wowote. Nikaamua kumchana na kumwekea ngumu na kusema siridhishwi na mwenendo wako kwa tendo. Nilijifanya kuchukia na kwenda job. Narudi usiku nakuta kajiaandaa kwa tendo uku amekaa ki mahaba...
  2. Mkalukungone mwamba

    Arusha: Auwawa kwa kupigwa na kitu kizito baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake

    Jamani wanaJukwaa. Huku kuingilia mapenzi ya watu na kujifanya mwema wakati mwingine tuangalie na kuwa makini ============== Mwananchi mmoja aliyefahamika kwa jina la Akwii ambaye ni mlinzi na mkazi wa Kimandolu mkoani Arusha ameuwawa kwa kupigwa na kitu kizito kilichodhaniwa kuwa nondo mara...
Back
Top Bottom