Kuna siku mke wangu alinuna kwenye ndoa kila nikiomba tendo ananiwekea ty nafanya bila ushirikiano wowote.
Nikaamua kumchana na kumwekea ngumu na kusema siridhishwi na mwenendo wako kwa tendo.
Nilijifanya kuchukia na kwenda job. Narudi usiku nakuta kajiaandaa kwa tendo uku amekaa ki mahaba...