mgogoro wa mpaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naombeni ufafanuzi Kisheria juu ya Mipaka ya Ardhi

    Habarini zenu wakuu, nina suala linanisumbua kati yangu na jirani angu kuhusu mipaka. Ni hivi jirani yangu kapanda mti wa mparachichi hii ya kisasa jirani kabisa na mpaka takribani nusu mita toka mpaka ulipo, sasa umekua na matawi mengi yamekuwa shambani kwangu ambapo nimepanda migomba...
  2. Hivi tuliishia wapi kuhusu Ziwa Nyasa na leo Ziwa Malawi?

    Huu mgogoro ulifikia wapi mpaka leo, maana ramani zinaonesha ni ziwa malawi na sio ziwa nyasa? Na mipaka inaonesha utakiwi kugusa hata maji. Je, kanuni gani mpaka sasa na solution ipi imechukuliwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…