Leo napitia habari za kimataifa naona Rais alieshindwa mwenye box la kura wa chama cha Podemos anaye itwa VENANCIO MONDLANE amerudi kutoka uhamishoni alipokuwa akihutubia wananchi kwa njia ya YouTube na wananchi wana fuata kila alichokuwa akisema.
Huyu jamaa sijui nani yupo nyuma yake...