mgogoro wa ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nilimuacha mke wangu kisa ndugu zangu najutaa jamanii

    Mzuka wanaJF dume rijali la JF mwenzenu nipokatika majutoo jamanii kamsaada... Nilikuwa na mke mzuri, mwanamke aliyekuwa nguzo ya familia yangu. Alijitoa kwa kila hali, akahakikisha kila kitu kinaenda sawa, lakini mimi niliamua kumwacha kwa ajili ya ndugu zangu. Leo nipo peke yangu, nimepoteza...
  2. Geita: Mwanamke auawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mume wake

    Mapenzi na migogoro ya ndoa imeendelea kuleta shida na hata kutoa roho za watu kila kukicha jamaani! ================== Mwanamke mmoja mkazi wa kata ya Ludete wilayani Geita, Adventina Nicolaus (37) amefariki baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mume wake, huku tukio hilo likihusishwa...
  3. Mke wangu kaniona nikiwa namshika Muhudumu wa Baa, nasuluisha vipi hii kesi?

    Mambo vipi wakubwa. Ebana tuna siku ya tatu hatuongei na wife,sababu kubwa ni siku ya jumapili sikujua kama alipotoka church alipitia bar jirani na wanakwaya wenzie wakawa wanakunywa soda. Basi me nikaenda kutoa lock pale kwa ile bar,mara ghafla yule mhudumu nae akaanza kucheza mziki huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…