Wanabodi,
Nikiwa member wa TLS, nimefarijika na taarifa hii ya TLS.
Tunaipongeza Serikali kwa kuchukua hatua za awali kwa kutuma mawaziri waandamizi na kuzungumza na wananchi pamoja na tamko lake kupitia maelezo ya Mawaziri husika la kurejeshwa kwa huduma za kijamii zilizositishwa katika eneo...
Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi
Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara...
° Nimekuwa nikijiuliza, Masai wote hawa ni wakazi wa ngorongoro au wamewaita wenzao kutoka Kenya?
° Kwa wingi huu, je tuna urithi wa kujivunia pale ngorongoro?
° Tuweke siasa pembeni, twende na usalama wa urithi Wetu kwanza!
° Je, baada ya miaka 20 tutakuwa na ngorongoro yetu?
-TUTAFAKARI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.