Mimi sio muumini wa vita ya uvamizi,lakini nipende kukiri kuwa Syria iliishi kinyonge mno kuliko Ukraine inavyojipambanua katika vita hii kati ya Russia na Ukrain.
Kila nikiwa katika kazi zangu za kila siku nikikumbuka vibaka wa kariakoo wanavyochomwa moto wa petroli na kusahau kuwa kumbe...
Hivi karibu kumekuwa na Ajali nyingi za ndege ambazo zimechukua uhai wa watu wakubwa Duniani, imefika mahala jamii inatilia Shaka Uhalisia wa ajali hizi hasa kwa viongozi fulani.
Tujikumbushe Kidogo baadhi ya Viongozi waliofariki katika ajali Hizi za ndege katika maeneo Tofauti.
1. Yevgeny...
"In the West, the prevailing narrative is that Russia initiated the war with its special military operation and is therefore the aggressor, so it is allowed to attack the Russian territory using Western weaponry.
It is argued that Ukraine is merely defending itself, and is justified in doing...
Nisema humu ndani kuwa wazungu hasa Magaharibi na Marekani wana akili nyingi sana. Putin amebaki kutishia tu kuwa ana nyuklia kali sana.
Ukweli ni kwamba kitendo cha kupigana vita mda mrefu kilipangwa strategically ili wakati vita inapiganwa NATO wawe wanaingiza silaha kali polepole ukrain na...
Marekani imekuwa ikifuatilia mwenendo wa meli za kijeshi ambazo zimeonekan zikielekea upande wao kwenye visiwa vya Carribean.
Haijajulikana kiuhakika meli hizo za kawaida za kijeshi na zile za kubebea ndege zitatia nanga eneo gani,hata hivyo inakisiwa itakuwa ni Venezuela na Cuba.Mazoezi hayo...
Enzi za Nyerere huu Mwaliko ulikuwa ni wa Tanzania ila hizi zama za Utandawazi tunaalikwa kijumuiya zaidi.
Tuzidi kumuombea Rais Ruto akatuwakilishe vizuri na zikitokea fursa za kupeleka manjagu au Wajeda kama Haiti atutonye jirani zake.
Nawatakieni Sabato Njema 😄😄
Ukraine wameishiwa na watu wa kuwasajili jeshini na wakati hauko rafiki nao.
Kwa maoni ya wachambuzi wa kijeshi wa The Telegraph, haya mapigo ya droni yanayotangazwa na Ukraine hayawezi kabisa kubadili kushindwa kwa taifa hilo mbele ya Urusi.
Ukraine imetangaza kuteka kijiji cha Robotyne...
Rais wa Urusi anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa utawala wake katika miaka 23 yote aliyokuwa akiongoza taifa lenye nguvu ya nyuklia.
Ni jambo la kushangaza kuona jinsi alivyoweza kuendeleza udhibiti kamili kwa muda wote huo; sehemu muhimu ya kuonesha utawala wake wa kiimla...
Wazungu wanapima kutujua waafrika kama ni watu kamili kama wao au tuna uhalifu kidogo kuwa binadamu kamili kama wao.
Hata nyani na tumbili ukiwapa ndizi TU kila mara wanageuka kuwa rafiki zako kwa njia ya conditioning (ushawishi) TU bila kutumia akili zao.
Wazungu wanajua kuwa rafiki mkubwa...
Vita ya kwanza ya dunia iliibuka kutokana na kuwepo kwa mataifa (multipolar) yenye nguvu ya kiuchumi na kijeshi yaliyokosa kuheshimiana! Baada ya vita hiyo, kukatengenezwa 'the league of nations' kama njia ya kutengeneza utengemano kati ya mataifa hayo!
Hata hivyo, vita hiyo haikuwa fundisho...
Bei za bidhaa za kilimo zimekuwa zikifuata mwelekeo wa kupanda kwa sababu ya mwitikio wa serikali duniani dhini ya Covid-19. Bei hizo zilipanda kutokana na vikwazo vya kuuza chakula nje kwa baadhi ya nchi.
Lakini mzozo wa sasa kati ya Urusi na Ukraine umepeleka bei kwenye viwango vipya na vya...
Kuna watu wanamhujumu Mheshimiwa Rais na pengine yeye hajui hili. Kwa sasa huku mitaani mafuta ni adimu sana, na pale ambapo yanapatikana basi bei yake haishikiki. Dumu/Ndoo ya Lita 20 iliyokua ikiuzwa TZS 70,000/- mwezi wa sita mwaka jana leo inauzwa TZS 140,000/-
Aliekua Waziri wa Kilimo...
Asasi za kiraia zimetoa wito kwa Serikali ya Marekani chini ya Rais Biden kuwalinda watoa huduma za intaneti nchini Urusi dhidi ya vikwazo. Mashirika hayo yameonya kwamba kukwamisha ufikiaji wa mtandao kutawaathiri wenye mawazo na misimamo tofauti.
Wito huo umekuja ikiwa vikwazo dhidi ya Urusi...
Before you condemn Putin here's some background information for you:_
The socio-political and religious information Africa consumes certainly comes mainly from the West - America and its allies. That is why Africans always echo Western political views. We don‘t think for ourselves; we never ask...
Vita vyote huwa mwonevu na mwonewa.
Hata hivyo pana wimbi la mashabiki pia.
Kwanini waafrika tunatokea kukenua mno bila kusimamia misingi ya haki wala kuzingatia madhara?
Hata hivyo nisiache kutambua mchango wa Kenya na Afrika Kusini kwenye kumkemea hadharani, mbabe huyu wa vita bwana...
Ukraine na Urusi: Je Vacuum au thermobaric ni bomu la aina gani?
Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha za aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum -katika uvamizi wake wa Ukraine.
Silaha hizi ni tata kwasababu husababisha uharibifu mkubwa zaidi kuliko...
Hii ndio ilikua ndege kubwa Duniani, Ni ya kipekee zaidi, Na ilitengenezwa moja tu na kampuni iliyoitwa Antonov Serial Production Plant huku ikimilikiwa na Ukraine SSR.
Ilikuwa na Uwezo wa Kubeba Tani 640 hizi ni tofauti na Aeroplane au Aircraft, Hizi huitwa Airlift au Strategic Airlift cargo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.