WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametatua mgogoro kati ya Jeshi la Magereza na Wananchi wa Kijiji cha Dondwe wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani baada ya wananchi hao kuzuiwa kutumia barabara inayopita katika Kambi ya Mvuti ambapo malori yanayobeba mchanga hutumia njia hiyo...