Nawashangaa sana wamalawi, yani karibia kila siku ajenda kuu za kimataifa lazima wagusie ziwa Malawi / Nyasa.
Mpaka wa kusini wa Ziwa Nyasa na Msumbiji uliwekwa kupitia mikataba kati ya Uingereza na Ureno, ambayo iligawa mpaka wa ziwa katikati.
Hata hivyo, mpaka kati ya Tanzania na Malawi...
Serikali imezuia matumizi ya Ramani za google kufundishalia wanafunzi kuhusu mipaka ya Nchi hususani mpaka wa Tanznaia na Malawi.
Kwa kutumia google,mpaka wa Tanznaia na Malawi uko pembezoni mwa Ziwa na Malawi wanadai ndio mpaka halisi wakati Ramani za Tanzania zinassma mpaka uko katikati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.