1. Vichaa wa kisiasa.
Tunaposema vichaa wa kisiasa, tunamaanisha wale watu waliofunga macho na masikio wasione wala kusikia, wakachagua kuacha midomo wazi kuzungumza kwa nguvu zote!, Watu hawa hawahitaji kujua wala kufungua macho kumtazama yule aliyewekwa pale kama ni mgombea sahihi, kwao hilo...
Haya ndio Yale Yale ya Mr.Tumbili na Mke wake.
My Take: Mambo ya ndege wasiofanana hawawezi kuruka pamoja.
https://x.com/swahilidigital_/status/1862009393295810976?t=gJsJpp2KrYc1oxlsYO2xBg&s=19
Wakuu,
Ingia hapa kupata matukio yote ya uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/special-thread-mijadala-ya-mikoa-yote-tanzania-bara-inayoshiriki-katika-uchaguzi-wa-serikali-za-mitaa-2024.2265632/
Anayedaiwa kuwa mgombea katika kitongoji cha Mgera B...
Wandugu kwema?
Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Hivi ndivyo unaweza kusema. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea nafasi ya uwenyekiti kupitia CCM bwana ABDALLA KIBELE jana alionekana mitaani akiwa ameambatana na wapiga MDUNDIKO.
Mgombea huyo hakuwa anaongea lolote kwa wananchi kwa...
Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko ametangaza kuahirishwa uchaguzi kwa nafasi ya wajumbe mchanganyiko katika mtaa wa Mwangaza jijini humo kwa mujibu wa Kanuni NO. 21 (ii) ya Kanuni za Uchaguzi Mamlaka za Mitaa, ngazi ya miji kutokana na mgombea wa nafasi...
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X
"Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) mapingamizi na kuonyesha kua mapingamizi hayo yameandikwa na wagombea wa CCM. Baada ya wagombea...
Chama cha siasa katika siasa za vyama vingi ujipima kukubalika kwake kwa kuruhusu wananchi kupiga kura
Kwa hali ilivyo sana nchni ni wazi hakuna tena utaratibu wa kupata viongozi kupitia uchaguzi bali viongozi wa kisiasa wanateuliwa na tume ya uchaguzi au wasimamizi wa uchaguzi
Ni vigumu...
Wakazi wa Mtaa wa Chinyoya, Kata ya Kilimani, Wilaya ya Dodoma Mjini, jijini Dodoma, wamepinga uteuzi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayewania nafasi ya uenyekiti, wakidai kuwa mgombea huyo ameonesha tabia za kujifanyia maamuzi kwa matakwa yake binafsi na kutumia ubabe katika uongozi...
Mwanaume aliyenukuliwa katika kipande kifupi cha video kwa kauli yake tata kuhusu jinsia yake baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi huko Makate, ametoa ufafanuzi.
Eston Chaula amedai kuwa hakuwa na lengo baya na kauli yake bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.