mgomo dodoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Mgomo wa Wafanyabiashara wafika Mbeya, Mwanza, Dodoma, Arusha, Mtwara, Tunduma, Iringa

    Manzese Picha ikionyesha baadhi ya maduka eneo la Manzese Tiptop, jijini Dar es Salaam leo asubuhi Jumatano Juni 26, 2024 yakiwa yamefungwa kutokana na mgomo wa wafanyabiashara unaoendelea katika baadhi ya mikoa nchini. Madai ya wafanyabiashara ni pamoja na utitiri wa kodi unaotozwa na Mamlaka...
  2. N

    Wafanyabiashara wakubwa jijini Dodoma wagoma, maduka yafungwa

    Leo Juni 25, 2024 kuna mgomo mkubwa wa wafanyabiashara, maduka yafungwa Oneway, Majengo mitaa haina watu kabisa hali tete wananchi wanahaha. CCM imechoka kwakweli. Pia soma: Mgomo wa Soko la Kariakoo, Juni 24, 2024 Mgomo wa Wafanyabiashara wahamia Mwanza, maduka yafungwa
Back
Top Bottom