Idadi ya vifo kutokana na kukanyagana wakati wa hafla mbili za kutoa misaada ya Krismasi nchini Nigeria imeongezeka kutoka 13 hadi 32, polisi walisema Jumapili.
Waathiriwa, wakiwemo watoto wasiopungua wanne, walianguka wakati wa msongamano wa watu huku watu walipokuwa wakihitaji chakula huku...
Ikiwa ni siku ya tano ya maandamano yanayoendelea nchini Nigeria ya kupinga hali ngumu ya maisha na ukosefu wa ajira kwa vijana, huku raia wakitaka serikali ishuhulikie suala hilo kwa haraka zaidi, wananchi hao wameonekana wakicheza kwenye magari ya vikosi vya jeshi la taifa, hata hivyo vikosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.