Ikiwa ni siku ya tano ya maandamano yanayoendelea nchini Nigeria ya kupinga hali ngumu ya maisha na ukosefu wa ajira kwa vijana, huku raia wakitaka serikali ishuhulikie suala hilo kwa haraka zaidi, wananchi hao wameonekana wakicheza kwenye magari ya vikosi vya jeshi la taifa, hata hivyo vikosi...