mgomo wa daladala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Baada ya kugoma siku ya jana, madereva wa magari wa stendi ya Lindi warudisha huduma ya usafiri

    Ikiwa ni siku moja baada ya ya Mkuu wa wilaya ya lindi Victoria mwanziva kuwataka madereva wanaoendesha magari ya abiria stendi kuu ya lindi wawe watulivu na kuendelea kufanya kazi zao za kusafirisha abiria baada ya kugoma siku nzima ya jana, leo Januari 9 madereva wameanza kusafirisha abiria...
  2. kipara kipya

    Mgomo wa daladala Tanga waweka Diwani na Mbunge kwenye hali ngumu

    Ubovu wa barabara ya Tanga-Pangani umepelekea wenye magari na madereva wao kusitisha huduma za usafiri kutoka stendi kuelekea maeneo ya Tangasisi, Bwagamoyo, Mwakidila, Mwahako, Mchukuuni mpaka Machui kuwa kwenye wakati mgumu ndani ya siku mbili. Uchakavu wa bara bara kuanzia mabanda ya papa...
  3. R

    Mgomo wa daladala na gari za abiria za kwenda njia ya Pangani

    Mlio Tanga tuhabarishe tunasikia daladala za kwenda njia ya Pangani Wamegoma kisa barabara mbaya inaharibu magari yao. Ni kweli? Hali ikoje?
  4. City Of Lies

    Mgomo wa Daladala jijini Mwanza tarehe 11.03.2024

    Mgomo wa daladala unatarajiwa kufanyika jijini Mwanza tarehe 11.03.2024. Chanzo ni uwepo wa bajaji zinazobeba abiria kutumia route moja na Daladala. Nilifanikiwa kupata kipeperushi cha kuhimiza mgomo ambacho kila gari imelipia shilingi 1,000 kupata hicho kipeperushi kisha namba za usajili wa...
  5. Roving Journalist

    Mgomo wa Daladala wamalizika Arusha, usafiri warejea kama kawaida

    Baada ya mvutano wa siku mbili hatimaye usafiri wa Daladala Mkoani Arusha umerejea kama kawaida leo Jumatano Agosti 16, 2023. Afisa Mfawidhi wa LATRA, Joseph Michael amesema “Kilichozingatiwa ni Sera, tumewapangia vituo vipya watu wa Bajaj, tunawaondoa mjini kuwapeleka pembeni na wamekubali...
  6. D

    Waziri Mkuu Majaliwa tunakuomba uende ukamalize mgomo wa daladala Arusha

    Hii nchi bado ina rule of law ila watu wachache ambao wana maslahi binafsi wanashindwa kufata na kusimamia sheria kwa personal benefits zao. Tunaomba Waziri Mkuu Majaliwa, mtumishi wa watu uende Arusha ukamalize mgomo ulioanza tarehe 14/8 na ambao utaendelea bila kikomo hadi madereva wa...
  7. Bushmamy

    Mgomo wa Daladala Jijini Arusha asubuhi hii ya Julai 3, 2023

    Madereva wa Daladala Mkoani Arusha wamegoma leo Kwa kile wanachodai kuwa ni Bajaji kufanya Kazi kama daladala. Idadi kubwa ya wanafunzi na watu wazima wamekuwa wakitembea kwa miguu na wengine wakiwa tu vituoni wakiwa hawajui cha kufanya. Mamia ya wakazi wa jiji la Arusha wakiwemo wanafunzi wa...
  8. Idugunde

    Mwanza: Daladala kugoma Februari 16, wanadai bajaji zinakwapua abiria wao na kuwamaliza

    Wamiliki na madereva wa daladala jijini Mwanza wamesema watasitisha kutoa huduma ya usafiri kwa wakazi wa jiji hilo kufuatia uwepo wa bajaji mjini zinazobeba abiria katika vituo vya daladala na kupelekea wao kushindwa kufanya kazi. Hayo yamebainishwa kwenye kikao maalum kilichowakutanisha...
Back
Top Bottom