Ubovu wa barabara ya Tanga-Pangani umepelekea wenye magari na madereva wao kusitisha huduma za usafiri kutoka stendi kuelekea maeneo ya Tangasisi, Bwagamoyo, Mwakidila, Mwahako, Mchukuuni mpaka Machui kuwa kwenye wakati mgumu ndani ya siku mbili.
Uchakavu wa bara bara kuanzia mabanda ya papa...