Mgomo unaofanywa na Wafanyabiashara kwenye Mji wa Kyela unaochukua siku ya 3 sasa umeanza kuumiza wananchi
Inawezekana mgomo wa eneo hili ukawa ndio mgomo kabambe kuliko yote nchini Tanzania, ni vigumu kyela kupata hata kiberiti au mafuta ya kula, karibu kila mwenye duka amefunga duka, duka...
Habari wadau,
Ukweli mchungu ni kwamba wauza maduka Kariakoo mgomo wao hauna nguvu na wala serikali haiwaogopi sababu hawatishi. Machinga ndio wanatisha maana ni jeshi kubwa.
Kuna wakuu wa mikoa kibao walijaribu kutaka kuwaondoa wamachinga wakajikuta wamepoteza vyeo vyao.
Wamachinga...
Leo, wafanyabiashara wa Kariakoo wamesitisha shughuli zao kwa pamoja kwa kugomea kodi na ukaguzi mkali, hatua ambayo imesababisha maduka kufungwa na kuathiri biashara kwa kiasi kikubwa. Mgomo huu unakuja baada ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wafanyabiashara kuhusu ongezeko la kodi na...
Hawawezi kukwepa kuwa sakata la Kariakoo lisinge fika hapo lilipo kama wange wajibika.
Kulipo undwa Kikosi kazi (Task force) cha TRA kufuatilia kodi Kariakoo ndipo mianya ya rushwa ikapamba moto na vijana waliopewa jukumu hilo ndio wakaona ni nafasi ya kukandamiza wafanyabiashara kujitajirisha...
Mama ili Nchi iendelee inatakiwa watu walipe kodi ila lazima uangalie namna unavyowakamua wananchi wako namna unavyowaumiza na sio kuwadai kodi kwa mabavu
Mama mtu anaagiza mzigo China ukifika Bandarini analimwa kodi kubwa alatu mtu huyo huyo akifikisha mzigo wake store bado mnataka alipe kodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.