Hawawezi kukwepa kuwa sakata la Kariakoo lisinge fika hapo lilipo kama wange wajibika.
Kulipo undwa Kikosi kazi (Task force) cha TRA kufuatilia kodi Kariakoo ndipo mianya ya rushwa ikapamba moto na vijana waliopewa jukumu hilo ndio wakaona ni nafasi ya kukandamiza wafanyabiashara kujitajirisha...