Baada ya Wafanyabiashara wa Simu 2000 kumfukuza mkuu wa wilaya ya Ubungo hatimaye Mkuu wa mkoa mh Albert Chalamila alifika eneo hilo na kufanikiwa kuwatuliza Wamachinga
Chalamila ameahidi kuzifanyia Kazi changamoto zote na atawaletea majawabu Jumamosi
RC Chalamila amewashukuru Wamachinga kwa...