mgomo wa wafanyabiashara kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024

    Hadi Sasa ni saa 2:24 asubuhi maduka mengi hayajafunguliwa. Licha ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, kuwasisitiza Wafanyabiashara wa Kariakoo kuendelea na shughuli zao kama kawaida, hadi Saa 9 Asubuhi Wafanyabiashara wengi wamefunga Biashara zao katika Mitaa ya Kariakoo, leo Juni 24, 2024...
  2. J

    Mwenyekiti wa CHADEMA Njombe, Rose Mayemba akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha mgomo wa Wafanyabiashara unaoanzia Kariakoo!

    Kuna tetesi Kuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba anashikiliwa na Polisi kwa kuhamasisha mgomo wa Wafanyabiashara unaoanzia Kariakoo. Ikumbukwe asilimia 90 ya Wafanyabiashara wa Kariakoo ni Wakinga kutoka mkoani Njombe Tutaendelea kufuatilia Nawatakia Dominica Njema 😃...
  3. toriyama

    MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'

    Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo mnatakiwa kufunga biashara zenu zote ikiwemo maduka yenu, ofisi zetu na chochote unachokifanya kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024 bila ukomo hadi pale changamoto zetu zote za kibiashara zitakapoweza kutatuliwa. Mikoa ya Mbeya, Iringa, Mwanza, Arusha...
  4. mirindimo

    Wafanyabiashara Kariakoo kugoma muda wowote kutokana na madai yao kupuuzwa

    Ikiwa baada ya siku chache kupita ambapo Viongpozi walibembelezwa kusikiliza na kutatua kero za Wafanyabiashara kariakoo bila mafanikio, wafanyabiashara hao wameadhimia kugoma mgomo usio na kikomo mpaka watakaposikilizwa na kutatuliwa kero zao. Kwa uchunguzi wa chini chini kuhusu mgomo huo...
Back
Top Bottom