Maduka yote Mjini Kyela leo 25/06/2024 yamefungwa, ikiwa ni muendelezo wa Mgomo wa wafanyabiasha nchi nzima kupinga dhuluma za serikali kupitia TRA, kuwakamua Wafanyabiashara hadi watoke damu.
Wengi waliofuata mahitaji ya watoto wao hasa kipindi hiki kuelekea kufunguliwa kwa Shule, Wamepigwa...
Kuna tetesi Kuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba anashikiliwa na Polisi kwa kuhamasisha mgomo wa Wafanyabiashara unaoanzia Kariakoo.
Ikumbukwe asilimia 90 ya Wafanyabiashara wa Kariakoo ni Wakinga kutoka mkoani Njombe
Tutaendelea kufuatilia
Nawatakia Dominica Njema 😃...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.