Nafanya utaratibu wa kuweka clip hapa uone huyo machinga anavyotiririka kwa takwimu huku DC Bomboko akiwa na hofu kuu na RC Chalamila akikubali kila hoja ya machinga huyo
Kama Wamachinga walishiriki kutengeneza mchoro wa Soko na kuweka Vigezo vya Kiuchumi vitakavyofanya Soko kuwa Endelevu basi...
Viongozi wenye viburi kama DC wa Ubungo, Hassan Bomboko waamue kubadilika au wapigwe chini na mteuzi wao kwa maslahi mapana ya Taifa. Nyakati sio rafiki.
Wafanyabiashara ndogondogo kwa sasa ni wasomi wenye degree na hawataweza kuvumilia upuuzi wowote kutoka kwa viongozi wasiojitambua...
Kumbe Bwana DC Bomboko una kazi nyeti ya kuwasaidia wafanyabiashara wa hapo Simu 2000 badala yake unakimbilia kuwaandama mabinti wanaotoa burudani mjini!
Ona sasa ulivyozomewa na kudhalilishwa leo! Uliwapuuza wafanyabiashara muda wote waliokuhitaji badala yake ukawa unazurula usiku kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.