mgomo wa wafanyabiashara simu2000

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Baada ya kumsikiliza mfanyabiashara akimuelimisha RC Chalamila pale Simu 2000 Jana nakiri Tanzania bado ina vijana wanaojitambua!

    Nafanya utaratibu wa kuweka clip hapa uone huyo machinga anavyotiririka kwa takwimu huku DC Bomboko akiwa na hofu kuu na RC Chalamila akikubali kila hoja ya machinga huyo Kama Wamachinga walishiriki kutengeneza mchoro wa Soko na kuweka Vigezo vya Kiuchumi vitakavyofanya Soko kuwa Endelevu basi...
  2. M

    Kilichotokea leo Ubungo Simu2000 kiwaamshe viongozi kuhusu wasomi wengi kuwa wafanyabiashara ndogondogo. Nyakati zimebadilika

    Viongozi wenye viburi kama DC wa Ubungo, Hassan Bomboko waamue kubadilika au wapigwe chini na mteuzi wao kwa maslahi mapana ya Taifa. Nyakati sio rafiki. Wafanyabiashara ndogondogo kwa sasa ni wasomi wenye degree na hawataweza kuvumilia upuuzi wowote kutoka kwa viongozi wasiojitambua...
  3. I

    DC Hassan Bomboko shughulika na soko la simu 2000 na siyo dada poa

    Kumbe Bwana DC Bomboko una kazi nyeti ya kuwasaidia wafanyabiashara wa hapo Simu 2000 badala yake unakimbilia kuwaandama mabinti wanaotoa burudani mjini! Ona sasa ulivyozomewa na kudhalilishwa leo! Uliwapuuza wafanyabiashara muda wote waliokuhitaji badala yake ukawa unazurula usiku kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…