Tatizo la watoto kuzaliwa na vichwa vikubwa, au kuwa na mgongo wazi husababishwa na upungufu wa Folic acids anaokuwa nao mama mjamzito.
Mwongozo wa CDC unashauri kila mwanamke anayepanga kushika ujauzito aanze kutumia virutubisho hivyo walau miezi 3 kabla ili kuuandaa mwili wake vizuri katika...