Kuna tetesi kwamba Kamwe amepigwa ban ya miaka miwili. Nakubaliana na ban na yeyote anayeketa ujinga ujinga unaofanana na huyo apigwe na kitu kizito.
Niwakumbushe tu huyu bwana mdogo aliwahi kumdhalilisha Juma Mgunda. Akasema kati ya Mgunda na Andazi, yeye anachagua andazi.
Viongozi wa timu...
Kocha uyu kwa miaka yote aliyokaa coastal union ajawai kupata ata sare mbele ya Simba, lakini akikutana na timu nyingine unaona anapata matokeo!
Uyu jamaa uwa ni mwanachama mwaminifu wa Simba anawasaidia sana kupata point kwenye timu yoyote anayoifundisha, aiwezekani Kila mechi ukose mbinu...
Huyu kocha ni mtu wa hatari sana, katika vitu nafurahishwa navyo ni pale ninapoona 5imba hawana mpango naye, Ila katika makocha wajuzi na hatari hususan kwa Ligi yetu ni Juma Mgunda a.k.a Mzee wa acha boli litembee, mzee wa pira biriani. Huyu jamaa akiachiwaga timu mfano pale alipofukuzwa Tinyo...
Kuna vitu huwezi kufoji kabisa. Ukiwa na kocha mbovu utalaumu wachezaji bure tu.
hamtaki onana, fred na mh.
Hilo linauzi mnooo.
Kocha ashindwe kila timu aje aibukie simba. Hakuna mtu kabisa hapo
Huyu kocha Juma Mgunda ameitendea mengi timu yetu lakini huwa tunamtreat vibaya mno. Juzikati tumemfukuza kazi, na leo ameanza makeke. Tukienda mkwakwani tunakula 2-0.
Hongera sana Camara, kipa la NBCPL.
Soma Pia: FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024
Hii umeona wapi!? Kocha wa taifa. Ana kuwa pia kocha wa team ya league at the Same time.
TFF watoe majibu?
Pichani ni makocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Hemed Suleiman ‘Morocco’ na Juma Mgunda walipokuwa mazoezini leo katika dimba la KMC, Mwenge.
Makocha hao wanaiongoza Stars...
Hii timu hii inagawa tu doze huko Ethiopia kwenye mashindano ya CECAFA Women. Zilianza 5,leo 3.
Kila la kheri na hongereni kwa kuipeperusha vema Nembo ya Simba.
Soma Pia:Full Time: Simba Queens 5-0 Fad Djibouti | 2024 CAF Women's Champions League - CECAFA Qualifiers
Kuna watu wanataka Mo atoke Simba kwa kupigwa na mawe. hivi vituko wanavhosema vinaletwa na Mo mwenyewe ni mtego.
Siamini kama kweli Ni viongozi wa Simba ndio waliomleta hiki kiituko na kumpa umeneja. Au kuna watu wa Yanga wamepenyezwa kuiua simba kabisa.
Hapa tuwe wakweli hii Timu bora ata...
“Ni mchezaji huru, ni mchezaji mwenye kutaka wazo la kwenda kucheza, lazima mjue Chama ni Mzambia na shughuli yake ni kuchez mpira, msubirini chama mumuulize yeye mwenyewe, sisi kama Simba tunazungumzia ya kwetu, Chama anatuhusu nini tena? Unashangaa nini Chama kutoka Simba? Kwani kaziliwa Simba...
Kwa wanafuatilia masumbwi mtakuwa mnamfahamu kwa uzuri kabisa Luis Ortiz aka King Kong. Ni bondia kutoka Cuba a naye fanya vizuri sana. Kwa muonekano aisee ni copy kabisa ya Mgunda.
Wafananishe hapa kwa picha
Stars imeifunga Zambia ikiwa nyumbani kwake, narudia nyumbani kwake.Binafsi, sikuwa na shaka na uwezo wa makocha hao isipokuwa shaka yangu kubwa ilikuwa kwa wachezaji, kwamba wachezaji tuliokuwa nao hasa wale walioanza sikudhania kabisa baadhi yao kama wanaweza kupambana kiasi kile hasa kutokana...
Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.