mgunduzi wa chips mayai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa nini mvumbuzi wa Chipsi Mayai/ zege, chakula cha kipekee cha kitaifa cha Watanzania wote hajapewa tuzo ya kitaifa?

    Mataifa mengi huwa na vyakula vyao vya kipekee ambavyo ni kama sehemu ya utamudini wao kitaifa. Wako walio na piza, mabaga, taco, shawarma, matoke, githeri, kimchi n.k. Nafikri kwa sisi Tanzania Chipsi mayai ndio chakula cha kipekee kinachotuunganisha kiutamudini Watanzania wote kama taifa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…