mhalifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Kumbe Talib Al-Abdulmohsen alikuwa ni mhalifu anaetakiwa Saudi Arabia, ila Ujerumani ilimng'ang'ania kumpa hifadhi. Sasa leo amewafanyia kufuru

    Wakati ambao Poland (wanaopinga kupokea uhamiaji holela) wana enjoy kwa amani maandalizi ya Christmas... Wao Ujerumani wanalipia kwa damu kutokana na huruma na msaada wao wenyewe. Huyu jamaa ni mmoja ya Waarabu wengi waishio Ulaya kwa amani na utulivu. Vitu ambavyo hawakuvipata walipokuwa...
  2. Roving Journalist

    Muliro: Aelezea tukio la mhalifu kujeruhiwa kwa risasi maeneo ya Tanganyika Packers

    Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne amesema Askari wa Jeshi hilo wamemjeruhi Mtu mmoja kwa risasi katika eneo la Tanganyika Packers wakati alipokuwa eneo hilo na mwenzake wakiwapora na kuwatishia Maisha Watu waliokuwa wakipita eneo hilo kwa kutumia mapanga.
  3. S

    Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

    Ameongeza kwa kusema " kwa nchi zenye kufuatia utawala wa sheria Makonda alipaswa kuwa jela".
  4. JanguKamaJangu

    Bodaboda wavamia ofisi ya Serikali ya Mtaa Tabata, wamchukua mwizi wa Bodaboda watokomea naye kusikojulikana

    Kijana mmoja maarufu kwa jina la Bonge mkazi wa Mtaa wa Kichangani, Tabata Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, hajulikani alipo baada ya kubebwa na baadhi ya waendesha Bodaboda kwa madai kuwa amehusika na wizi wa pikipiki usiku wa kuamkia leo Agosti 3, 2023. Tukio la wizi lilivyokuwa Dada mmoja...
  5. D

    Ni njia gani ya ajabu ambayo mhalifu alikamatwa?

    Mohammad Ashan alikuwa kamanda wa Taliban ambaye alisakwa kwa ku-organize mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani. Kulikuwa na mabango mengi yaliyotangaza kwamba anatafutwa na maafisa wa Marekani na zawadi ya dola 100 kwa yeyote ambaye angetoa taarifa ambazo zingemfanya akamatwe. Cha...
  6. Frumence M Kyauke

    Tofauti kati ya mhuni na mhalifu

    Watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya mhuni na mhalifu na kuleta mkanganyiko pale wanapotaka kufahamu tofauti ya watu hawa wawili. Mhuni ni mtu yeyote aliyeamua kwenda kinyume na maadaili mema au utamaduni huku mhalifu ni mtu yeyote aliyevunja sheria. Mhuni anakosa maadili mema na...
  7. Stroke

    Mpenzi wangu ananiwinda kama mhalifu

    Wakuu, Hali imekua mbaya sana. Shemeji yenu amefikia critical point yaani ananisaka kwa kila mbinu. Ikipita saa tu atauliza UKO WAPI? Sasa kwani ndio nimekua mateka wake au? Maana hata sielewi ni kama nipo kifungoni.
  8. Suley2019

    Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

    SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI. - Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan. - RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza Chanzo Cha Moto. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameruhusu...
  9. Miss Zomboko

    Musoma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwalewesha abiria Dawa ya Congo na kuwaibia

    Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kwenye mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza-Musoma na kuwaibia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibushubwamu amesema kuwa mtuhumiwa huyo amekamatwa...
  10. T

    Ikitokea kila mhalifu akapata wakili mzuri wa utetezi, kuna uwezekano wahalifu wakawa wanapeta mitaani!?

    Ndugu wanabodi mimi sio mjuzi sana wa sheria, ila kwa ninavyosikia ni kwamba mtuhumiwa yeyote anao uhuru wa kutafuta mwanasheria au wakili wa kumtetea katika kesi inayomkabili. Ndipo swali langu linapokuja kwamba, kwa kuwa mambo ya haki hasa inayotolewa na mahakama hupatikana kutokana na...
  11. Chizi Maarifa

    Huyu Mhalifu ni kama alikuwa na jambo lake na Polisi. Raia hakuwa na tatizo nao

    Kuna jambo ambalo polisi ni kama hawataki kuligusia kabisa. Jamaa inaonekana wazi kabisa alikuwa na Tatizo na Polisi. Huyu si gaidi. Ni mtu ambaye alikuwa anajua wa shughulike na watu gani. Na akawa yupo tayari kufa baada ya kutimiza yake nia. Wananchi wengi wameonekana kuwa neutral katika...
  12. Shark

    Picha zaidi zinazodhaniwa kuwa za Mhalifu wa Selander

  13. G

    Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Ni kweli "Yeyote" anaweza kuwa "Mhalifu"

    YEYOTE ANAWEZA KUWA MHALIFU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Nimemsikiliza Kamanda Siro Kwa umakini mkubwa, nikaona nami nitoe machache haya Kwa ajili ya kujifunza Kwa wapenda kujifunza, andiko hili halitamlenga yeyote, isipokuwa ni andiko linaloweza kumlenga yeyote aliye mwanadamu, iwe Mimi...
  15. Analogia Malenga

    Raia atakayetoa taarifa ya mhalifu Dar kulipwa Mil. 2

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetangaza donge nono la kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa za kweli na kwa usiri mkubwa kwa jeshi hilo kuhusu mtu anayefanya uhalifu wa kutumia silaha, lengo likiwa ni kuhakikisha mkoa huo unabaki kuwa shwari...
  16. beth

    Watuhumiwa 15 sugu mbaroni kwa tuhuma mbalimbali za kihalifu katika jiji la Dar es Salaam

    Mohamed Musa Mohamed aliyetajwa kuwa Mhalifu sugu wa kughushi nyaraka za Serikali na zisizo za Serikali kwa nia ya kujipatia fedha kwa udanganyifu amekamatwa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam imesema Mohammed anayefahamika zaidi kama Kibosile amekutwa na Hati za Kusafiria zaidi ya 130, nyaraka...
  17. Ferruccio Lamborghini

    Mhalifu ni nani ndani ya Ole Sabaya?

    ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, alifikishwa mahakamani jana. Ni matokeo ya tuhuma zinazomuandama kwa muda mrefu sasa. Yameshasemwa na yanaendelea kusemwa mengi. Hisia ni tofauti kuhusu yanayomtokea Sabaya. Kila mtu anataka aseme kitu. Nami nimeshaulizwa kwa nini sisemi...
Back
Top Bottom