Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga ameridhishwa na ujenzi wa jengo la Wizara hiyo linalojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Mhandisi Sanga amesema hayo Desemba 11, 2024 ambapo ameungana na Wajumbe...