Mwathirika na Mhanga. Mwathirika ni ama mtu anayepatwa na jambo linalomsababishia madhara bila ya yeye kukusudia au mtu anayefuata tabia na mienendo ya mtu mwingine. Hivyo, dhana hii inaweza kuwa na maana chanya au hasi. Wako watu walioathiriwa na mienendo na tabia nzuri za walimu wao, wazazi...