Tokea jana kuna mkanganyiko mkubwa na muingiliano wa Habari, hasa za kitaifa UTV.
Je, Msimamizi wa maudhui ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku katika chaneli hiyo ya Azam tv amekumbwa na nini!?
Maana imeshaanza kuwa kero kwa sisi watazamaji .😠😠😠
Rais Samia afikia rekodi ya Mwalimu Nyerere
Yaani Mtu aliyeifanyia makubwa Tanzania na kuwa Statesman kwa miaka 23 leo hii anaweza Kufananishwa na Mtu aliyeingia tarehe 17 Machi, 2021 hadi leo tarehe 11 Oktoba, 2023?
Media ya Tanzania ni kwanini mnapenda sana Kudanganya, Kujipendekeza na...
Mambo ni mengi ,binafsi nigeweka hivi: Front page (FP) na last page (LP)
FP: Watoto wasumbua likizo na wazazi wakitamani shule kufunguliwa (kana kwamba wao hawahusiki na malezi)
LP: Kiatu chavutwa nusura kichanike
Tiririka
Habari wakuu! napenda kuwajulisha kuwa nafanya kazi kama mhariri binafsi, kwa wale wanaojihusisha na uandishi wa vitabu, hadithi (simulizi), makala tofauti tofauti na kazi zingine za kiuandishi nipo hapa kufanya kazi zenu. Kama utahitaji mhariri ili kuhariri kazi yako basi nipigie au nitumie...
Ndugu wana jamvi,
Japo mimi sio mchoraji wa katuni lakini nawaombeni kujua mawili matatu kuhusu hii fani; hivi huwa inaleta picha gani au taswira gani unapomchora mtu/kibonzo cha mtu kwenye gazeti tena ukurasa kwa mbele kwa taswira ya ng'ombe?
Maadili ya kiuandishi hapa yanasemaje?
Naombeni...
Gazeti la Chama Tawala limefungiwa kwa kuandika taarifa ya isiyokuwa sahihi kuhusu Mkuu wa Nchi na Amirijeshi Mkuu wetu ambayo imesababisha taharuki za kisiasa, kikanuni na kikatiba kwa taifa. Haiwezekani gazeti la Chama tawala likosee taarifa kuhusu Mwenyekiti wa chama wao na Mkuu wa taifa kwa...
Gazeti la Uhuru lina Mkurugenzi Mtendaji wake Ernest Sungura.
Kwa wale wasio mfahamu huyu mheshimiwa, alikuwa akiongoza vile vile TMF, Tanzania Media Fund.
TMF ilikuwa ikitoa fedha za wafadhili katika vyombo vya habari kuendeleza uweledi wa The Free Press
TMF chini ya Sungura ilikuwa kichaka...
Gazeti la leo 15/3/2020, front page Daily News.
Picha ni nzuri lakini ati anayejenga mradi huo ni Yapi Merzeki!!!!!!!
Mhariri naona amechok kazi.
No proof reading na anabeba tu makosa ya waandishi wake.
Hakumbuki gazeti hili la serikali linasomwa dunia nzima.
Wadau kulikuwa na tetesi kuwa huyu jamaa anahamia new Habari Corporation kwa RA kuanzia tarehe 1.12.2012, na ushahidi wa hili ni alipoanza kuandika makala ndani ya gazeti la Tanzania Daima (m4c kama nape anavyoliita) kwa kuanza kujikomba kwa magamba kama makala yake ya namuogopa kinana,mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.