Siku hizi kuna ukosefu mkubwa wa habari kutoka kwenye media zetu karibu zote. Ukiangalia magazeti karibu yote habari zao ni uchawa mwanzo mwisho. Gazeti la nipashe angalau mhariri ameonyesha ujasiri wa kuweza kuandika bila woga na uchawa. Najua karibuni utapata misukosuko kutoka kwa mafisadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.